ni ngoma ya mixtape nimeifanya ili kuelimisha na kuburudisha, mistari ya kwangu ila chorus nimesample melody kutoka kwenye original track nicheki_0787649597
commented: hii beat ya mbele ila nimehamasika kuiita mguu kwenye pedeli kutokana na maisha nayoishi, life lipo tight hivyo ni bidii yangu ndo itakayonitoa pia nimesample kutoka kwenye original track ambapo jamaa anakwambia mikono kwenye usukani hahahah